Jumatatu, 21 Machi 2016

USHUHUDA



USHUHUDA.
BWANA YESU ASIFIWE!.
Namshukuru Mungu tarehe 24/01/2016 nimefungua kanisa kijiji kidogo kilicho karibu na mji kama  kilomita 2 toka Tabora mjini.Tarehe 27/01/2016 siku ya jumatano alikuja mama mmoja aliyeteswa na kichomi kisichopona tangu mwezi wa tisa 2015.Nilifanya naye maombi nikiwa na mke wangu mpendwa,alitapika povu jeupe na kuanzia hapo shida yake ikaisha mapepo yakamwacha huru.
HAKIKA MUNGU ANAWEZA,LISILOWEZEKANA KWA WANADAMU KWAKE LINAWEZEKANA
LUKA 18:27
JE,KUNA GUMU ASILOLIWEZA MUNGU?
YEREMIA 32:17
………………………………………………………………………………………………………
RATIBA ZA IBADA KANISANI KWANGU
KANISA LA INJILI AFRICA IKINDWA-KILOLENI TABORA
JUMATANO-Saa kumi na moja hadi saa kumi na mbili jioni –Maombezi ,ushauri na Mafundisho.
JUMAMOSI-Saa tisa na nusu hadi saa kumi na moja jioni. –Kwaya.
JUMAPILI-Saa nne asubuhi hadi saa sita mchana–Ibada ya Neno na maombezi.
Kwa msaada zaidi wasiliana nami;-
PASTOR.AMOS E.ONESMO-0756391498
E-mail:pasteronesmo@gmail.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni