SOMO:
ULIVYOKAA KATIKA MLIMA HUO
VYATOSHA.
-Katika
maisha ya kiroho yapo mambo mbalimbali yanayoonekana kama mlima.
MATHAYO 10:36
-Kuna
kudharaulika,kusemwa vibaya,magonjwa,kufukuzwa na mateso ya aina mbalimbali.
-Katika
yote Bwana anathibitisha kuwa imetosha inuka uende.
KUMBUKUMBU
LA TORATI 1:6
ISAYA
49:26
-Usitishwe
na unayoyaona,watapigana nawe hawatakushinda tamka IMETOSHA.
YEREMIA 1:19
-Unaenda
kuona adui zako wakitawanyika
HESABU 10:35
YEREMIA 30:16-22
-Mwone
Mungu akikutoa katika shida uliyonayo na kukuweka huru sasa.
……………………………………………………………………………………………………
Limeandaliwa
na:-
ONESMO AMOS,E
0756391498.E-mail:amosonesmo5@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni