SOMO: UJANA NA UTUMISHI.
-Ujana-Ni
hatua ya kutoka utotoni kuelekea utu uzima .
-Ujana
ni hatua muhimu ya mtu kuandaa maisha ya
baadaye hadi uzeeni
-Wengine
husema ,”Taabu ya uzeeni ni uzembe wa ujanani”
-Kijana
ameitiwa utumishi katika shamba la Mungu,maana bado wana nguvu za kulipeleka
Neno.
MITHALI 20:29
-Mungu
aliwachangua watu mbalimbali katika utumishi wake wakiwemo vijana .
SABABU
YA KIJANA YA KUCHAGULIWA KATIKA UTUMISHI.
1YOHANA 2:14B
i/Kijana
ananguvu.
ii/Neno
la Mungu linakaa ndani ya kijina.
YEREMIA
1:4-9
iii/Kijana
ana uwezo wa kumshinda Yule mwovu.
iv/Kijana
ni jasiri kuishinda dhambi.
MITHALI
28:I
V/Kijana
analo jukumu la kumzalia Mungu matunda .
YOHANA 15:16
Vi/Kijana
analo jukumu la kulitumikia shauri la mungu
MATENDO YA MITUME 13:36
Vii/Kijana
analo jukumu la kuishi maisha matakatifu.
ISAYA 1:16-17
MAMBO
YAKUEPUKA KAMA KIJANA.
1 YOHANA 2:15
i/
Usiipende dunia.
ii/Usipende
yaliyomo duniani.
iii/Tamaa
mbaya za mwili.
MITHALI
21:17.
*mwili
hutiishwa kwa maombi ya kufunga
iv/Tamaa
mbaya ya macho .
v/Kiburi
cha mafanikio /mali/uzima..
vi/marafiki
wabaya.
MIKA 7:5
Vii/Ushawishi
mbaya
MITHALI
7:10-23
MITHALI
22:14
Viii/mavazi
yasiyo na heshima /ya aibu.
-Kijana
ameitwa kwa ajili ya kumtumikia Mungu,anatakiwa kuvaa mavazi ya heshima ili awe
na sifa njema .
VINAVYOCHOCHEA
TAMAA ZA MWILI.
Yafuatayo
ni baadhi ya mambo yanayopelekea kuamusha tamaa za mwili hatimaye kijana
kujiingiza katika matendo mabaya (Dhambi ya ngono ).Hivyo kila kijana
aliyeokoka na aliyeitwa na Mungu ayaepuke.
i/kukumbatiana
jinsia tofauti (Mvulana na msichana ).
ii/Kushikana
na kutembea mmeshikana mikono jinsia tofauti.
iii/Kupiga
au kupigwa busu.
iv/Kuangalia
picha chafu (picha za utupu /uchi/Ngono).
v/Kupokea
au kutuma ujumbe wa ki-mpenzi:mfano,’I love you” n.k
vi/Kukaa
sehemu za vificho au giza jinsia tofauti.
Vii/kukaa
bila kazi.
-Kutojishughulisha
na kazi yoyote hupelekea kuwa na muda mwingi
wa kupoteza na kuwaza yasiyofaa.
Viii/Mavazi
ya aibu mfano ,sketi fupi,Nguo za kubana n.k
ix/Kwa
msichana,kushikwa matiti na kutekenywa.
UCHUMBA
HADI NDOA.
*Uchumba
huanzishwa na Mungu kwa kusudi maalumu.
*Ndoa
ni mpango uliosanifiwa na Mungu.
MAMBO
YAKUFANYA ILI KUPATA MME AU MKE MWEMA KUTOKA KWA BWANA.
i/Omba
mme au mke kwa Mungu na si mchumba na mweleze Mungu sifa za mtu unayemhitaji.
ii/Usimtangulie
Mungu mbele ,ukatumainia akili yako.
MITHALI 3:5
iii/Kutofuatisha
msisimko wa mwili.
-Ni
kwa kuanzisha uchumba kwa kufuata za
mwili.
iV/Usijiingize
kwenye tendo la ndoa kabla ya ndoa.
V/Kuwa
mwaminifu na si mwongo.
MITHALI 13:5
Vi/Msikilize
Mumgu.
Vii/Kuwa
na malengo/maono.
Viii/Vunja
roho za kukataliwa na laana zote za ukoo zinazokufuatiliwa .
MUHIMU:-Wengi wanaojihusisha na tendo la ndoa kabla ya
ndoa uchumba wao huwa
unavunjika au ndoa zao kuwa
za shida (kuyumba)
-Uchumba si ndoa na tendo la
ndoa ni kwa wana ndoa tu si kwa wachumba.
==============================UBARIKIWE!============================
Pastor.
AMOS E.ONESMO-0756391498
SIKU YA HARUSI KABLA YA KUINGIA KUINGIA KANISANI 19/12/2015.
SIKU YA KUVALISHANA PETE ZA UCHUMBA TAREHE 04/10/2015.
SIKU YA HARUSI 19/12/2015 TABORA MJINI ENEO LA UZUNGUNI.
Ubarikiwe sana kwa Neno la Mungu kwetu vijana, maana ni mhimu sana kwetu au kwangu kama kijana kuyaishi haya na Mungu wa Mbinguni anisaidie sana Amina
JibuFutaBe blessed my fellow pastor
JibuFutaAmina ubarikiwe
JibuFutaBarkiwa mtumishi wa mungu
JibuFutaMungu akubariki kwa somo
JibuFutaubarikiwe mtumishi nimejifunza kitu hapa
Futaubarikiwe
JibuFuta