VIZUIZI VYA
MAOMBI/MUUJIZA WAKO.
YOHANA 5:14-15
1.
Uchungu na
kutosamehe
MATHAYO 5:22-24 MATHAYO 6:14-15
-Uchungu maana yake ni
kukaa na jambo moyoni.
-Moyo ni kwa ajili ya
Roho mtakatifu na si vinginevyo.
2.
Dhambi ya
makusudi
ZABURI 66:18
-Tukiwaza maovu moyoni
mwetu Mungu hatasikia maombi yetu.
3.
Mizozo
isiyotatuliwa na mambo ya nyumbani.
-Mizozo huondoa uwepo
wa Mungu katika nyumba na kumpa nafasi Shetani.
1 PETRO 3:7
4.
Dhamiri mbaya
WAGALATIA 6:3-4
-Kuwaza mabaya huweza
kukunajisi.
LUKA 18:10-14
5.
Kutotoa/Kumwibia
Mungu fungu la kumi
-Watu wengi leo Mungu
ni ziada tu kwao
MALAKI 3:7-9 MWANZO 28:22 MAMBO YA WALAWI 27:30
6.
Kutotoa dhabihu
za shukrani.
ZABURI 50:14
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni