Mombi
ni nini?
Ni
mawasiliano/masemezano/mazungumzo kati ya Mungu na mwanadamu.
ISAYA 1:18
Pia
Maombi ni kitendo cha
kumwita Mungu ili ahusike katika haja/hitaji lako.
YEREMIA 33:3 ISAYA 41:21
Mwana maombi mkuu
tunayejifunza kwake ni YESU KRISTO. Muda wake mwingi alioishi Duniani alikuwa
akiomba.
MATHAYO 4:1-2 MATHAYO 26:36-41 LUKA 22:43-44
Je, ni nani awezaye
kuwasiliana/kuzngumza na Mungu kwa njia ya maombi?
1 PETRO 3:12 YOHANA
9:31 WAEBRANIA 12:14
JIBU:
Bwana huwasikiliza
wenye haki wasio na dhambi.
Je, tunapoomba tunaweza
kupata/kufanyiwa lile tuliombalo?
MATHAYO 7:7-8 YEREMIA
29:12-13
JIBU:
Bwana hutufanyia lile
tuliombalo maana ni AHADI yake kwetu.
Je, tuombe lini?
LUKA 18:1 1THESALONIKE 5:17
JIBU:
Imetupasa kuomba siku
zote, bila kukoma.
KANUNI ZA MAOMBI/SIFA
ZA MUOMBAJI.
ü Mwenye
SIRI- Asiwe mtu anayesemasema SIRI za Mungu kwa watu wasiohusika bila ruhusa ya
Mungu mwenyewe.
1WAKORITHO
4:1
ü Mwenye
uwezo wa kumshawishi Mungu.
KUTOKA
32:11-14
ü Mtu
anayenyenyekea mbele za Mungu.
WAFILIPI
2:8 WAEBRANIA 12:2, 5:8
ü Kumtafuta
Mungu kwa Moyo wote.
YEREMIA
29:13 YEREMIA 24:7
ü Kutokuwa
na mashaka.
MATHAYO
21:21-22 MATHAYO 17:20
ü Kuwa
na bidii.
ISAYA
62:1 MITHALI 13:4 YAKOBO 5:17
ü Utakatifu
MATHAYO
5:8 MWANZO 3:8-11 HESABU
12:1-8 1SAMWELI 1:20
ZABURI
93:5B ZABURI 16:3 ISAYA 33:13-19 ZABURI
34:18
WARUMI
6;12 ZABURI 15:1-5 YOHANA 14:21 ZABURI 4:4
ü Shauku
1NYAKATI
29:2-3 ZABURI 26:8 ZABURI 84:1-2, 10-19
YOHANA 20-1-18
ü Kufuatilia
Ahadi za Bwana (NENO)
YEREMIA
1:12 1NYAKATI 17:1-27 DANIEL 9:1-21 YOHANA 15:7 ISAYA 55:11
ü Imani
WAEBRANIA
11:1,16 WARUMI 4:20-21 ISAYA
54:17 2WAKORINTHO 4:16
ü Kuomba
katika jina la Yesu
YOHANA
14:13-14 YOHANA
16:23-24
ü Mahitaji
yaeleweke
MARKO
10:46-52
ü Kuomba
katika Roho mtakatifu
MATENDO
YA MITUME 1:8 1WAKORINTHO 14:14
ü Kumtumikia
Mungu
YEREMIA
23:23
ü Maombi
yenye hoja
ISAYA
41:21
ü Kuwa
na Subira.
LUKA
11:9 ZABURI 27:14
VIASHIRIA
VYA MTU ASIYEOMBA.
a) Kuomba
kidogo.
b) Anaweka
muda mdogo wa maombi.mfano kufunga mara moja mara moja.
c) Hupoteza
muda kwa vitu visivyo na maana.
d) Hutumia
muda mwingi wa vikao, matangazo kuliko maombi.
e) Hufikiri/hupanga
mambo makubwa na kufanya bila
kumshirikisha Mungu.
WARUMI 1:28
UMUHIMU/FAIDA ZA
MAOMBI.
a)
Maombi huleta kufunguliwa vifungo vya
waliofungwa.
YEREMIA
29:13-14
b)
Maombi hutuweka karibu na Mungu.
YOHANA
1:12
c)
Maombi huleta mafunuo.
WAKOLOSAI 1:26-19
d)
Maombi huleta majibu/Ushindi katika
maisha yetu.
WAEFESO
6:11 MATENDO YA MITUME 12:1-9
e)
Maombi hutuepusha kuingia majaribuni.
LUKA
22:45-46
f)
Maombi hutupa ujasiri.
ZABURI
34:4 2WAFALME 6:15-17
ZINGATIO:
·
Maombi hutufanya kuishi maisha ya
ushindi, maisha ya Baraka, maisha ya Amani.
·
Maombi hutupa nguvu (kututia nguvu)
katika safari tuliyonayo ya kwenda mbinguni.
ISAYA 41:10
UBARIKIWE
KWA SOMO HILI!.
NI
MATUMAINI YANGU SOMO HILI LIMEKUONGEZEA KIWANGO CHA KUMJUA MUNGU.
Pastor.AMOS E.ONESMO-0756391498/0658727799
Soma ni zuri,linajenga maisha ya mkristo,linenisaidia.barikiwa mtumishi.
JibuFutaAsante Kwa somo zuri
JibuFuta