Jumanne, 18 Oktoba 2016

SOMO LA ELIMU



SOMO LA ELIMU
Maana:
Elimu – Ni uwezo ,maarifa,ujuzi alionao mtu katika jambo Fulani.
HOSEA 4:6
MAKUSUDI YA MUNGU KUTUPA ELIMU
i)Hutusaidia kutawala mazingira.
ii)Hutusaidia kuongoza.
iii)Hutusaidia kutumia maliasili zetu.
iv)Hutusaidia kutatua changamoto tulizonazo.
v)Ni uzima wetu.
MITHALI 4:13
IKO MISEMO MINGI YA UPOTOSHAJI.
Mfano: Kufeli shule siyo kufeli maisha.
MAANA NNE ZA ANDIKO LA MITHALI 4:13
i) Elimu hubeba maisha.
ii)Elimu anawakimbia wanaomtafuta.
iii)Elimu anakamatika kwa wanaomkamata.
iv)Elimu anaenda zake.
SABABU ZA KUFELI ZA MWANAFUNZI
i)Kutosoma kwa bidii.
ii)Utoro.
iii)Kutojali.
iv)Uchumba.
v)Kiburi.
vi)Matumizi mabaya ya muda (Poor time management).
vii)Kutojua mtaala wa somo husika(Syllabus).
SABABU ZA KUSOMA BILA KUELEWA
i)Nguvu za giza(kusomea makaburini/sehemu zenye asili za ki-pepo).
ii)Uhusiano mbaya na wazazi/walezi wako.
iii)Kusoma ukiwa umechoka.
iv)Kukosa uhusiano mzuri na Mungu.
YOHANA 15:5
NAMNA YA KUFANIKIWA KI-ELIMU.
i)Kuelewa mtaala(Syllabus)kwa kila somo.
-Itamsaidia mwanafunzi kujua urefu na ufupi wa mada(Topic).
ii)Fahamu mambo makuu manne kwa kila somo
a)Understand opportunities(Fursa).
b)Understand challenges/Threats
c)Understand weaknesses
d)Understand strengths
iii)Soma Neno la Mungu na kulitendea/kulifanyia kazi.
YAKOBO 1:22-23
iv)Maombi
MATHAYO 7:7,YEREMIA 29:11
v)Kuwa na Imani yenye matendo.
YAKOBO 2:1-26
vi)Kuwa na mikakati madhubuti kwa kila somo.
KITABU CHA AYUBU 22:28
vii)Tafuta msaada kwa watu walio sahihi(Jifunze kwa waliofanikiwa).
viii)Matumizi sahihi ya muda.
WAEFESO 5:15-16,MITHALI 12:1
ix)Jua mfumo wa utungaji wa maswali/mitihani(Examination format).
x)Kuwa na malengo/malengo yanatoa DIRA.
MITHALI 29:18
xi)Bidii binafsi
MITHALI 10:4,12:24,13:4
xii)Nidhamu-Itakutofautisha na kukupa kibali
LUKA 2:52
xiii)Mtazamo wako utatathimini kiwango chako cha kufanikiwa.
MITHALI 23:7
xiv)Soma kwa makundi(Group discussion).
xv)Marafiki watakujenga na kukubomoa.
MITHALI 27:17
xvi)Maandalizi yako kabla ya mitihani yataamua matokeo yako.
MWANZO 41:47-48,53-54.
-Proper preparation prevents poor performance.
xvii)Uhusiano mzuri na wazazi/walezi utakuletea Baraka katika masomo.
xviii)Uhusiano mzuri na Mungu utakufanikisha.
………………………UBARIKIWE SANA!..............................................................
BY
PASTOR. AMOS E. ONESMO
(0756391498)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni