MTUNZI: REV.AMOS
SIMU: +255759199463
SOMO:
KUMPENDA MUNGU.
➖Ni kuzishika Amri zake.
➖Ni kuyatenda mapenzi ya Mungu.
👇👇👇
YOHANA 14:15
"Mkinipenda, mtazishika amri zangu"
👇👇👇
YOHANA 15:10.
"Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake"
➖Amri za MUNGU ni maagizo ya Mungu..
➖ Kuzishika Amri za MUNGU ndiyo kumpenda MUNGU.
👇👇👇
I YOHANA 5:3
"Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito"
➖ Kumpenda MUNGU ni kukubali kuyapokea MAONYO ya MUNGU.
👇👇👇
MITHALI 1:23
"Geukeni kwa ajili ya maonyo yangu;
Tazama, nitawamwagia roho yangu,
Na kuwajulisheni maneno yangu"
___________ Mwisho ___________
E-mail: pasteronesmo@gmail.com
+255759199463
+255625313609