MWL: REV.AMOS
CONT: +255625313609
E-MAIL: pasteronesmo@gmail.com
SOMO:
ULINZI WA MWANAUME.
➖Ulinzi ni kuweka kitu katika hali salama.
➖Mungu alimwekea mwanaume ulinzi muhimu.
๐๐๐
Yeremia 31:22
"Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume"
➖Mwanamke ni mlinzi wa Mme katika ulimwengu wa kiroho.
➖Mwanamke fahamu wajibu wako. Mme halindwi kwa:-
1. Matusi
2. Kejeli
3. Magomvi
4. Mashitaka na shutuma
5. Kumdhalilisha
6. Kufoka
7. Kumshusha thamani kwa kumfedhehesha n.k
➖Mme hulindwa kwa:-
1. Maombi
2. Utii
3. Kutimiza wajibu wako kwake.
4. Kauli njema
5. Hekima n.k
✳️MWANAMKE ZINGATIA HILI, MWANAUME HAFOKEWI HATA KAMA AMEKOSEA. MKOSOE KWA HEKIMA YA MUNGU.
➖Mwanamke tambua hili, MME ni wa muhimu kwako.
➖Mwanamke Omba Hekima ili kujenga mji wako.
๐๐๐
Mithali 14:1
"Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake;
Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Rev. Amos
+255625313609
+255759199463
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni