SOMO:
KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU
Karama - Ni
zawadi kutoka kwa Mungu kupitia Roho Mtakatifu apewayo mtu kulingana na
apendavyo Mungu.
Lengo la Mungu kutoa Karama ni kwa ajili ya kuujenga
mwili wa kristo ambao ni Kanisa. Mungu ametoa KARAMA tofauti tofauti ili tuweze
kujengana.
Roho Mtakatifu humgawia kila mtu kama apendavyo yeye
IWAKORITHO 12:4-11
KARAMA TISA (09) ZA ROHO MTAKATIFU
1.
Karama ya Ufunuo
2.
Karama ya Neno
la Hekima
3.
Karama ya Neno
la Maarifa
4.
Karama ya Imani
5.
Karama ya
Matendo ya Miujiza
6.
Karama ya Uponyaji
7.
Karama ya aina
ya lugha
8.
Karama ya
kutafsiri lugha
9.
Karama ya Unabii
MAKUNDI MAKUU MATATU YA KARAMA
KUNDI LA KWANZA (KARAMA ZA UFUNUO)
1.
Karama ya Ufunuo
(Maarifa)
2.
Karama ya Neno
la Hekima
3.
Karama ya Neno
la Maarifa
KUNDI LA PILI (KARAMA ZA NGUVU)
1.
Karama ya Imani
2.
Karama ya
Matendo ya Miujiza
3.
Karama ya
Uponyaji
KUNDI LA TATU (KARAMA LUGHA)
1.
Karama ya aina
ya lugha
2.
Karama ya
kutafsiri lugha
3.
Karama ya Unabii
MAKUSUDI YA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU
1.
Kumdhihirisha
Yesu katika Ulimwengu wote.
2.
Kufundisha
kanisa. Mungu anaweza kufundisha kanisa kupitia Unabii au kwa lugha mpya baada
ya kutafsiriwa. IWAKAORINTHO 14:5
JINSI YA
KUPOKEA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU
1.
Kwa kutaka
(Kuomba Mungu)
IWAKORINTHO 12:31, 14:1. Omba Mungu akupe
2.
Kwa kuwekewa
Mikono na Watumishi wenye Karama.
ITIMOTHEO 4:14, 2TIMOTHEO 1:6
3.
Kwa kuwa na
Ushirika na watu wenye Karama.
2WAFALME 2:1-15
MUHIMU
KARAMA HAZIFANYI
KAZI KAMA MTU ANAVYOTAKA BALI KAMA MUNGU ANAVYOTAKA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni