*TUBU DHAMBI ILIYO NYUMA YA KUOLEWA KWAKO* .
Siku unaolewa kuna vijana wengi uliwaachia maumivu, machozi, vilio na simanzi.
Kwa ajili yako wengine waliapa hawatapenda tena, wengine walipoteza Imani kwa wanawake hawamwamini mwanamke yeyote, wengine hadi sasa hawaajaoa bado hawaamini kama ni kweli umeolewa ni kama wanaota.
*HAO VIJANA SI WENGINE, NI WALE* :-
1. ULIOWATAPELI KWA KULA HELA YAO NA KUWADANGANYA KWA KUSEMA "Sina mwingine"
2. WALIOTUMIA MUDA MWINGI KULINDA UCHUMBA BILA KUJUA KUWA WEWE NI MSALITI.
3. WALIOWAKATAA WENGINE KWA AJILI YAKO KWA KUTUNZA MAKUBALIANO YENU, KUMBE WEWE ULIKUWA TAPELI TU
4. WALIOKUBALI KUSHINDA NJAA ILI WEWE USHIBE, WALIOACHA KUVAA ILI WEWE UVAE.
5. WALIOKUAMINI WAKATI HUKUFAA KUAMINIWA
Machozi yao Mungu anayaona na kuyasikia, *RUDISHA HELA ZAO ULIZOKULA.*
USIPOFANYA HIVYO ZITAGEUKA KUWA KIFUNGO KWAKO MAANA USALITI NI DHAMBI
REV. AMOS - TABORA
Whatsapp +255759199463
E-MAIL: pasteronesmo@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni