SOMO: SADAKA
YA MAVUNO.
Hii ni sadaka ya shukrani kwa Mungu kwa Baraka
alizotupa.
KUMBUKUMBU LA TORATI 28:1-14
Katika mavuno yetu tunapewa angalizo tusile
tukamsahau Mungu.
KUMBUKUMBU LA TORATI 8:10-20
Sadaka ya mavuno siyo ya mazao ya shamba tu. Ni pamoja
na kile tunachokivuna katika maeneo ya kazi au miradi yetu kama vile;
i)Fedha ii)Mifugo iii)Mazao na mali nyingine
tunazomiliki.
Somo hili limegawanyika katika sehemu kuu tatu
ambazo ni;
i)
Namna ya
kufanikiwa kiuchumi.
ii)
Kwanini Mungu
anatupa utajiri wa mali na fedha.
iii)
Baraka za utoaji
wa sadaka ya mavuno.
NAMNA
YA KUFANIKIWA KIUCHUMI.
Ni mpango wa Mungu tusiishi masikini ili tuweze
kumiliki mali na pesa.
1TIMOTHEO
6:17 2WAKORINTHO
9:8-11
HATUA
ZA KUFANIKIWA
i)
Tafuta fursa za
kufanikiwa - HOSEA 4:6
ii)
Epuka uvivu
fanya kazi kwa bidii-MITHALI 22:13, MITHALI
20:4 ,MITHALI 19:15
Bidii hutufanya tufanikiwe - MITHALI 10:4
iii)
Malengo katika
kazi
Usipokuwa na malengo ya kazi zako hutajua kutumia vizuri
kipato chako.
KITABU CHA AYUBU 8:7
*Mapato hugawanywa katika sehemu kuu nne kwa
aliyeokoka na anayetaka kufanikiwa.
|
|
|
|
iv)
Tambua maadui wa
kazi zako.
ZINGATIO: Mafanikio kwa viwango vya juu sana hutegemea vitu
vikuu viwili:-
i)Akili-Uwezo wa kupambanua. ii)Maarifa-Namna ya kutenda jambo.
KWANINI
MUNGU ANATUPA UTAJIRI WA MALI NA FEDHA.
Ili Kuimarisha Agano Na Mungu (Ufalme Wake)* Kumb 8:18 (12-18)
Agano la Mungu kwa siku za leo, ni Agano JIPYA. Kuimarisha Agano lake maana yake; ni kuimarisha kazi ya injili ya Yesu Kristo, ili wokovu uwafikie watu wote.
Gal 3:11,23-26,29; Rum 10:13 – 15; Fillip 4:15 –19

Ili Kuwagawia
Wahitaji *2KOR 9:8-13;
Tunapowapa wahitaji fedha, nguo, viatu, chakula au vitu vya aina nyingine ili
kuwasaidia kimaisha, tunapata thawabu kubwa kwa Mungu. Kumsaidia mhitaji kitu, ni kumpa Mungu. Hebu soma vizuri Mathayo 25:31-40; Mathayo 10:40 – 42 na Yohana 13:20.
2Kor 8:14-15, Mdo 20:35

Ili Kuvitumia Kwa Mahitaji Yetu Binafsi *Yoh16:24
Mungu kama Baba yetu na kama Mchungaji Mwema, anajali sana mahitaji yetu na haja zetu au shauku za mioyo yetu. (vitu vitupavyo furaha na kuridhika). Ndio maana hutupa utajiri, ili tufurahie maisha. Si mapenzi ya Mungu tuwe masikini. Ndio maana Yesu alifanyika maskini (kimwili) ili kwa umasikini wake, (sisi) tupate kuwa matajiri (kimwili)” 2 KOR 8:9
Ni mapenzi ya Mungu tupate vitu vyote vitakavyotufanya tufurahie maisha yetu duniani. Nyumba nzuri, mavazi mazuri, chakula kizuri, kazi nzuri, magari mazuri, biashara nzuri, mifugo mizuri, mashamba mazuri, mshahara mzuri, n.k.
ZABURI 23:1- 2; WAFILIPI 4:6-7,19; ZABURI 37:4; ZABURI 145:17- 19

KANUNI
KUMI ZA KIBIBLIA USIMAMIZI MZURI WA FEDHA
Matatizo
mengi ya kifedha tuliyo nayo yanachangiwa sana kwa namna moja au nyingine na
usimimamizi mbaya wa fedha zetu,wengi wetu tatizo letu kubwa zaidi ni usimamizi wa fedha
kuliko kuzalisha na kupata fedha. Usimamizi mzuri wa fedha utalinda uchumi
wako na kuukuza uzalishaji wako,kipato chako.Hata kama unazalisha sana fedha
lakini kama una usimamzi mbaya wa fedha uchumi wako utayumba tu.Matatizo
mengi ya kifedha tunakimbilia kuombewa na kukemea,lakini hayo yote bila
kujifunza usimamizi mzuri wa fedha utakuwa hujatatua tatizo katika mzizi.hata
ukiombewa kupata mpenyo wa kifedha matatizo ya kifedha yatarudi baada ya muda
mfupi kwa kushindwa kuzitendea kazi kanuni za fedha.
1. MUNGU NDIYE MMILIKI WA FEDHA ZETU
Fedha
ni Mali ya Bwana,sisi tu wasimamizi tu au mawakili,hivyo tunawajibika na vile
tunatumia kila fedha tuliyoaminiwa na Mungu.( Mathayo 25:1-30 ; Zaburi 24:1,)
2. TAMBUA FEDHA NI SUALA LA KIROHO.
Kwa
mtu wa Mungu fedha ni suala la kiroho,fedha ina athiri na inagusa maisha yako
ya kiroho pia.vile unavyoshughulika na fedha zako ni kiashirio cha ukomavu wako
kiroho.LUKA 16:10-11 .Fedha inaweza
kuwa Mungu wako,fedha ina uwezo zaidi kutuvuta taratibu na kwa ujanja kutoka
kwa Mungu kuliko kitu kingine chochote.MATH
6:24,Ina nguvu ya kuwa Bwana wetu. Katika mifano 38 ya Yesu,16 inahusu
fedha,katika agano jipya fedha imezungumzwa zaidi kuliko habari za mbinguni na
kuzimu vikiunganishwa pamoja.mara tano zaidi imezungumzwa kuhusu fedha kuliko
maombi,kuna mistari zaidi ya 1500
inayohusu maombi na imani,wakati kuna zaidi ya mistari 2000 inayohusu fedha na mali.Aslimia 15% ya Biblia ni kuhusu fedha.
3. TUNZA KUMBUKUMBU ZOTE ZA FEDHA
Kutunza
kumbukumbu ni hatua ya kwanza kukusaidia katika kuandaa bajeti yako ambayo
utaishi nayo.tafuta daftari dogo na anza kuweka kumbukumbu za wapi fedha zako
zinakwenda,ni kazi ngumu lakini itakusaidi kwa mipango ya muda mrefu ya
kifedha.kiasi gani unatumia kwa mwezi kwa usafiri?simu?chakula?matibabu? n.k ni
lazima ujue wapi fedha yako inatoka na wapi fedha yako ina kwenda. Nini
nina miliki,nini ninadai,nini nina daiwa,natuamiaje(MITHALI 27:23-24, 23:23,)
4. FANYA TATHIMINI YA MARA KWA
MARA YA FEDHA ZAKO:
Ni
muhimu kufanya tathimini kwa uaminifu kuhusu uchumi wako,mapato yako,madeni,vitega
uchumi vyako n.k. hii itakusadia kufanya marekebisho unayoyahitaji na
kukusaidia kuishi kwa mpango,kama huwezi kutathimini hutaweza kupanga,ukishindwa
kupanga,tayari umeshindwa kusimamia fedha yako.(MITHALI 21:5 LUKA 14:28)
5. JIWEKEE MFUMO WA KUPANGA
BAJETI NA KUUFUATA:
Bajeti
kirahisi nikuandika katika karatasi nini unategemea kupata kama mapato na
njisi gani unategemea kutumia.panga matumizi yako.Ni mpango wa jinsi gani
utatumia rasilimali fedha ambazo unatarajia kupata ,bajeti inapaswa
ijumuishe vyanzo vya mapato pia mpango wa matumizi wa mapato mf.mpango
wa chakula,kodi,zaka,utoaji,akiba n.k(Mithali 21:5, Mithali 21:20)
6. JIWEKEE UTARATIBU WA KUWEKA
AKIBA
Weka
Akiba, kwaajili ya dharura,akiba kwaajili malengo maalumu, (Mithali 21:20a
;13:11)
7. JIFUNZE KUTOA KWA UKARIMU
(MITHALI
11:24-25).kanuni ya uchumi wa Ki-Mungu ni tofauti,kadiri unavyotoa
ndivyo unavyo jilimbikizia ndiyo uchumi wako unastawi.Kumtolea Mungu,kutoa
kwaajili ya kuwabariki wengine,kutoa kwaajili ya wahitaji(Mithali
28:27 Mithali 11:25.Mithali 19:17,Mithali 3:9-10),Kutoa kunafungua Baraka
za Mungu katika Maisha yako.
8. TUMIA FEDHA YAKO KWA HEKIMA NA
RIDHIKA NA ULICHO NACHO:
Zingatia
vipaumbele na umuhimu,Epuka
matumizi ya anasa,manunuzi ya bila mpangilio,manunuzi ya papo kwa papo,usifanye
matumizi yaliyo nje,yanayozidi kipato chako au uwezo wako wa kifedha.Jifunze
kuridhika na kuuepuka tamaa.usifuje fedha kwa matumizi ya ovyo.jifunze
kuridhika(Mithali 21:20 ;Waebrania 13:5,Mhubiri 6:9)
9. TUNZA VITU NA MALI AMBAVYO
UMEVIGHARIMIA FEDHA.
Vitu,mali
ni fedha,usipovitunza utatoa fedha tena kununua. Tunza visiharibike
ovyo,vitumike kwa uangalifu ili kuokoa gharama ya matengenezo au kununua upya.
10. EPUKA MADENI.
biblia
haijakataza moja kwa moja kuhusu kukopa,ila kwa uwiano wa maandiko Haiti moyo
madeni,bali inakatisha tamaa kukopa.inazungumza zaidi madhara ya
kukopa.Unapokuwa katika deni unakuwa katika kifungo,Madeni yana haribu
uhusiano.usitumie fedha zaidi ya ile unayozalisha utaishia kwenye madeni.weka
akiba kidogo kidogo badala ya kukopa.
MITHALI 22:26-27,ZABURI
37:21,MITHALI 22:7
BARAKA
ZA UTOAJI WA SADAKA YA MAVUNO.
Udhihirisho Wa Kumheshimu Mungu, Kumtambua Mungu Na Kumthamini Kuwa
Ndiye Atupaye Utajiri/Vitu.(Kumbukumbu la torati 8:10 –20, Mithali 3:9 – 10)
“Mheshimu Bwana kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote. Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, na mashinikizo yako yatafurika divai mpya”… Tena “hawatakuwepo masikini kwenu, kwakuwa Bwana atakubarikia kweli, katika nchi akupayo Bwana Mungu wako, uimiliki, iwe urithi wako.” Kumbukumbu la torati 15:4

Kupata Baraka za Shukrani Kwa Mungu. *Zab 116:18,12-13, Zab103:1-5, Zab
136:1-3
Sadaka zetu ni njia tu ya kumshukuru, ni kiwakilishi cha shukurani zetu kwake, kwa maana hatuwezi kumlipa kwa mema anayotutendea *2Nyak 20:21 (1-30)
Sadaka zetu ni njia tu ya kumshukuru, ni kiwakilishi cha shukurani zetu kwake, kwa maana hatuwezi kumlipa kwa mema anayotutendea *2Nyak 20:21 (1-30)
Kumuabudu Mungu *Mwa 8:15-22;
Ebr 7:1-3; Mwa 4:1-7
Utoaji ni heshima kwa anayepewa. Ndio maana washindi hutunukiwa zawadi/tuzo, kwasababu wanastahili. Vivyo hivyo kwa Mungu wetu; kwa kuwa yeye ni Mkuu, Mtakatifu, na Muweza wa yote, anastahili kuabudiwa. Hivyo sadaka zetu ni ishara ya kumtukuza, kumheshimu na kumuabudu Mungu.

Ushirika
Wetu Katika Kazi Ya Mungu. * Malaki 3:7-12; Rum 10:13-15;* Hagai 1:3-11
Mungu ametupa mali na utajiri, ili tushiriki katika ujenzi wa ufalme wake duniani Mungu anatutaka tutoe sadaka nzuri “Ili kiwemo chakula nyumbani mwa Mungu” (Kanisani / Huduma ya Injili)
Mungu ametupa mali na utajiri, ili tushiriki katika ujenzi wa ufalme wake duniani Mungu anatutaka tutoe sadaka nzuri “Ili kiwemo chakula nyumbani mwa Mungu” (Kanisani / Huduma ya Injili)
Ni Upandaji
Wa Mbegu Ili Kupokea (Kuvuna) Baraka Na Utajiri Mwingi Zaidi
* 2Kor 9:6, 2Kor 9:8,Gal 6:7 – 10, Malaki 3:10 – 12, Luk 6:38,
Mtoaji wa sadaka ni kama mpanzi wa mbegu shambani. Mbegu moja huzaa nyingi zaidi kuliko ile iliyapandwa. Tunapotoa sadaka, tunatakiwa kutoa huku tukitarajia kupokea vingi kulilo tulivyotoa. Atakaye mavuno mengi ni lazima:-
i. Achague(atenge) mbegu bora zaidi (the best)
ii. Afuate masharti ya upandaji (Kilimo)(Isa 1:19)
iii. Apande mbegu nyingi (2kor 9:8)

Ni Kuweka Akiba Mbinguni *Luk 12:30-34; Math 6:19-20.
Imeandikwa kwamba “Hazina yako ilipo, ndipo moyo wako utakapokuwepo.Mambo yafuatayo, ni baadhi tu ya kazi za hazina yako iliyoko mbinguni.
(i) Kutusaidia wakati wa uhitaji WAFILIPI 3:12. WAEBRANIA 4:16

(ii) Kutuandalia makao mazuri
mbinguni YOHANA 14:1-2 MATHAYO 20 : 21 – 23
==============================UBARIKIWE!============================
Pastor.AMOS
E.ONESMO-0756391498