Leo ni siku yangu ya furaha kubwa kwa kuandika
historia mpya katika safari yangu ya KI-ELIMU. Siku ya leo nimehitimu
rasmi Masomo yangu ya chuo kikuu SHAHADA YA KWANZA YA UALIMU
(Bachelor of Arts with Education-BAED).
Kipekee namshukuru Mungu aliyenilinda tangu OCTOBER
2014 nilipoanza chuo hadi leo 2017. Pia, shukrani zangu ziwaendee wafuatao;-
1)
Mke wangu
mpendwa CHEUPE kwa kufanyika msaada
mkubwa kwangu.
2)
Mama yangu mzazi
kwa kunilea hasa katika kipindi kigumu cha ujane wake.
3)
Walimu wangu wa
shule ya Msingi, Sekondari, A-level na Chuo kikuu.
4)
Kanisa langu na Wachungaji
wenzangu.
5)
Shemeji yangu na
Dada yangu.
6)
Ndugu zangu wote.
7)
Walimu wote wa
Chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI KITUO CHA TABORA na wengine wote waliofanyika
msaada wakati wote wa masomo yangu.
Walimu hawa wanamchango mkubwa kuninoa katika somo
la kiingereza
hadi sasa nimekuwa Mwl wa somo la kiingereza;-
1)
Mwl Rocky –
Shule ya msingi.
2)
Mwl Sinkala –
Sekondari.
3)
Mwl Safari –
A-level.
4) Mwl Kaswaga –Chuo kikuu.
@Pastor
Amos E. Onesmo -0756391498 E-mail: pasteronesmo@gmail.com